Jumanne, 25 Septemba 2018

UMAKINI KATIKA MAISHA

    
       UMAKINI KATIKA MAISHA

1, chochote ulicho nacho kinahitajika um
akini maana bila ya  UMAKINI ni shida.
Mfano: unashona nguo na sindano ya mkono yafaa ushone kwa umakini. utulie sana katika kushona Sasa basi ufanye kazi yako ukiwa safi, yaani; 7kwa UMAKINI. Amini utafanikiwa  
2,TUMIA VYEMA SIKU 7 ZA WIKI .
Kama Siku za kazi na ufanye kazi. Pasipokuwa na sababu yoyote ile.
Ufanye kazi yako kwa UMAKINI sana, tena kwa bidii.
Penda kujifunza kila siku. Unapojifunza unaongeza .UJUZI WA UMAKINI KATIKA  LENGO LAKO LA KILA SIKU.
UWE NA MATEGEMEO KUWA, IPO SIKU. NAWE UTA FANIKIWA; KATIKA MAISHA.
3,JIEPUSHE NA ANASA ZA DUNIA
Mfano;matumizi mabaya ya pesa.kuonesha ufahari wakati huna kitu.(disco,kulewa,starehe,kila unacho kipata una tumia chote.  HATA WEWE UMOOO. VIJANA TUWE MAKINI.

Jumatatu, 24 Septemba 2018

Nafasi za kazi

https://www.jamiiforums.com/threads/east-direct-inatangaza-nafasi-za-kazi.1485867/#post-28500911 EAST DIRECT. Ina tangaza nafasi za KAZI.

Kwa vijana wote UMRI 18-- 35


Nafasi __ vibarua na Ajira

Sifa __(Afya njema) ( elimu zote)

Wasiliana nasi 0714206767.

Email. Eastdirectmarketing@gmail.com

Instagram. East direct marketing

Amini. KAZI NI IBADA.[img]https://www.jamiiforums.com/attachments/img_20180923_080609_149-jpeg.875962/[/img]