Jumanne, 27 Februari 2018

RAFIKI

USITEGE MEE MAWAZO YA RAFIKI YAKO  KAMA NIMEMA SIKU ZOTE.
 HUFANYI JAMBO BILA YA RAFIKI YAKO.
Yawezekana; : ulisha wahi kutishwa,najambo 
                         :Umekatishwa tamaa, 
                        : Ukose yeye apate
    Naamini sana,unaelewa siri ya mafanikio    hutoka moyoni.   Ndipo unafanya kitu.

    ATAKAYE KUFAA NIMTU AMBAYE ANAPENDA MAFANIKIO YAKO,
Mfano; ,yukotayari kujitoa kwaajiri yako mpaka ufanikiwe kimaisha, PIA UJUE NAYE KAFANIKIWA TAYARI.
Mfano; mwalim,kiongozi wako,mtoa elimu ya kimaisha ( hawa ni wazuri kwako)
*USIMWA MBIE RAFIKI YOTE ULIYO NAYO*

Jumapili, 25 Februari 2018

CHOZI

HAKUNA MTU AMBAYE HAJAWAHI KUTOA CHOZI HAKUNA. WOTE TUME TOA CHOZI. CHOZI NI HATUA YA KUPATA FURAHA.
Umwombe mungu atafanya kitu kipya kwako. Usiogope magumu wala hayaleti kifo japo taabu zinatesa sana vumilia. Mvumilivu hulambivu. 
Fahamu kuwa; 1,ulipo zaliwa Ulitoa (chozi) 

                            2, Katika kuishi utatoa ( chozi)

                             3, ukifa hakuna chozi kwako je? Unajua sababu?.........)


FURAHA


kitupekee katika maisha kuishi na furaha. muhimu sana itakufanya uwemwenye kujiamini sana

Jumatatu, 12 Februari 2018

Usijibishane Na mtu

Ukiwa mbishi sana kuna wakati utatengwa Na jamii, mfano; ukiambiwa njia hii ina nyoka mkali were ukawa mbishi watakuacha upotee pekeyako sasa.chamsingi kunamda uwe msikilizaji ita kusaidia sana.

Ijumaa, 9 Februari 2018

Namna ya kukataa hali ya maisha uliyo kuwanayo.

NAKUTAKA   UTAKAVYO WEWE .

Fata njia hizi. 6 ukifuata uta weza.

1,JIPEMOYO.
Kujipa moyo nihatua kubwa sana kwako, itakufanya ujiamini sana. Maana moyo inakufanya usikate Tamaa kimaisha. Usiogope kabisa. Mfano: mbwa ana bweka ili akukatishe moyo wako ndipo ana kushambulia.ukijipa moyo HAKUNG'ATI  sababu kuu USHINDI ilianza kwako mwenyewe. Kwa kujipa moyo. Ndivyo hata yalivyokuwa mafanikio yetu.  (JIPE MOYO UTAFANIKIWA)

2,BIDII SANA.
Bila ya kujituma haufanikiwi kabisa.  mfano: kulima, watu wanalima masaa 10  ndipo siku imeisha ya kazi. Sasa Wewe unalima masaa 4 kweli utafanikiwa sahau kabisa kufanikiwa.tujitume sana bila ya kujali umechoka kiasi gani. BIDII Utakuwanayo kama UMEJIPA MOYO NDIPO Bidii ita fanyika.

3,UWE NA MTAZAMO MKUBWA WA KIFIKRA.
mtazamo uta ongoza utakacho wewe. Utafanya mazuri sababu mtazamo ulio kuwa nao. una pangajambo,kufikiri mafanikio, utajiambia kuwa unataka kuwa (MTU WAAINA FULANI.)

4, FANYA JAMBO KAMA UNAFANIKIWA LEO.
Hii ina hamasisha ufanisi wako. Mfano; vijana  baadhi   wakitaka mwenza wake  huwaza akubali Leo . Sasa hata jambo la mafanikio linatakiwa uwaze kutimiza Leo nasio KESHO .

5, PINGA MANENO MABAYA   UAMBIWAYO
  maneno mabaya sio mazuri kuya fikiri yana haribu jambo ulilokuwa nalo . Maneno yanatoka sehemu mbalimbali . Epuka Marafiki , Ndugu , vikundi viovu hata wazazi baadhi wanachangia maneno ambayo huchangia kudumaa kimaendeleo, UFAFANUZI MZAZI .   mzazi aliyefanikiwa hutoa maneno  mazuri ili nawe ufanikiwe Tofauti mzazi  ambaye hajafanikiwa hutoa maneno  ya kushindwa. Kazi ni kwako uta msikiliza nani?( aliye fanikiwa analo jambo la kukufundisha.

6, FURAHIA CHANGAMOTO ULIYO PITIA
Maana nikipimo cha utambuzi kuwa wewe ninani?  Ukitaka kubadili maisha changamoto ina kufuata, HAKUNA MTU AMBAYE HAJAPITIA  changamoto ukionachangamoto   basi MAFANIKIO ya nafuata . mfano : ukizaliwa lazima ulie, katika maisha ya kuishi utalia, sasa je ? Ukifa utaliatena  au furaha kwako machozi kwa wengine. Asante sana kwa kujifunza .

Ijumaa, 2 Februari 2018

FANYA JAMBO LENYE MATEGEMEO.

1,Fanya jambo lenye mategemeo ya mafanikio kimaisha.
   Mfano :    KAZI , MASOMO , BIASHARA , KUMJUA MUNGU , Nk .
                     Fanya kwa uwezowako wote bila woga .
   TAHADHARI ; (a) usifanye kwa kuiga   utapotea .
                           (b) mazoea
                           (c) kuzuga
                           (d) cha kupotezea muda .
Hautatimiza mipango kama hauna unacho kijua / kifanya .
* Mithali 20:29 fahari ya vijana ni nguvu zao Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi .
* Tajiri mji wake nguvu .
2, Tumia fursa upata fursa
Usipo tumia fursa utakosa fursa .
Utapata kikubwa kulingana Na ( bidii )

  PENDA UNACHO KIFANYA NACHO KITAKUPENDA . By.kayombo95

Alhamisi, 1 Februari 2018

HATUA 3 ZA UVIVU AU CHANZO CHAUVIVU.

(1) CHANZO CHAUVIVU (mawazo mabaya)(thinking negative)
                       Mawazo mabaya ni sumu, husababisha ushindwe
                       Kufanya jambo.  MFANO; ukiambiwa (1)tembea kilomita mbili 2. utasema  Mbalisana, (2)pika chakula naogopa kupika nitaunguza 3,Fanya biashara, je?nikipata hasara. 4, fuga  kuku.sasa kideli kitanisumbua. Mwisho wasiku una pondekamoyo wakufanya kazi.  NJIA BORA WAZA MAZURI(THINk POSITIVELY) 

(2) BAADA YA UVIVU ( Kulalamika au kulaumu) utasikia,wewe mchoyo, sina pesa nikopeshe, wameninyima mirathi, serikali imebana, Ndugu wamenitenga,nk  UNAJUA SABABU  nimatokeo ya  mawazo mabaya == huleta lawama == mwisho umasikini.

(3) MWISHO WA UVIVU ( umasikini ) yaani hujatimiza malengo ya kimafanikioNakushindwa yote.

Kanuni.

MAWAZO MABAYA + KULAUMU+ UVIVU

        JIBU LAKE.  (UMASIKINI)