Jumanne, 25 Septemba 2018
UMAKINI KATIKA MAISHA
UMAKINI KATIKA MAISHA
1, chochote ulicho nacho kinahitajika um
akini maana bila ya UMAKINI ni shida.
Mfano: unashona nguo na sindano ya mkono yafaa ushone kwa umakini. utulie sana katika kushona Sasa basi ufanye kazi yako ukiwa safi, yaani; 7kwa UMAKINI. Amini utafanikiwa
2,TUMIA VYEMA SIKU 7 ZA WIKI .
Kama Siku za kazi na ufanye kazi. Pasipokuwa na sababu yoyote ile.
Ufanye kazi yako kwa UMAKINI sana, tena kwa bidii.
Penda kujifunza kila siku. Unapojifunza unaongeza .UJUZI WA UMAKINI KATIKA LENGO LAKO LA KILA SIKU.
UWE NA MATEGEMEO KUWA, IPO SIKU. NAWE UTA FANIKIWA; KATIKA MAISHA.
3,JIEPUSHE NA ANASA ZA DUNIA
Mfano;matumizi mabaya ya pesa.kuonesha ufahari wakati huna kitu.(disco,kulewa,starehe,kila unacho kipata una tumia chote. HATA WEWE UMOOO. VIJANA TUWE MAKINI.
Jumatatu, 24 Septemba 2018
Nafasi za kazi
Kwa vijana wote UMRI 18-- 35
Nafasi __ vibarua na Ajira
Sifa __(Afya njema) ( elimu zote)
Wasiliana nasi 0714206767.
Email. Eastdirectmarketing@gmail.com
Instagram. East direct marketing
Amini. KAZI NI IBADA.[img]https://www.jamiiforums.com/attachments/img_20180923_080609_149-jpeg.875962/[/img]
Jumanne, 27 Februari 2018
RAFIKI
HUFANYI JAMBO BILA YA RAFIKI YAKO.
Yawezekana; : ulisha wahi kutishwa,najambo
:Umekatishwa tamaa,
: Ukose yeye apate
Naamini sana,unaelewa siri ya mafanikio hutoka moyoni. Ndipo unafanya kitu.
ATAKAYE KUFAA NIMTU AMBAYE ANAPENDA MAFANIKIO YAKO,
Mfano; ,yukotayari kujitoa kwaajiri yako mpaka ufanikiwe kimaisha, PIA UJUE NAYE KAFANIKIWA TAYARI.
Mfano; mwalim,kiongozi wako,mtoa elimu ya kimaisha ( hawa ni wazuri kwako)
*USIMWA MBIE RAFIKI YOTE ULIYO NAYO*
Jumapili, 25 Februari 2018
CHOZI
HAKUNA MTU AMBAYE HAJAWAHI KUTOA CHOZI HAKUNA. WOTE TUME TOA CHOZI. CHOZI NI HATUA YA KUPATA FURAHA.
Umwombe mungu atafanya kitu kipya kwako. Usiogope magumu wala hayaleti kifo japo taabu zinatesa sana vumilia. Mvumilivu hulambivu.Fahamu kuwa; 1,ulipo zaliwa Ulitoa (chozi)
2, Katika kuishi utatoa ( chozi)
3, ukifa hakuna chozi kwako je? Unajua sababu?.........)
Jumatatu, 12 Februari 2018
Usijibishane Na mtu
Ijumaa, 9 Februari 2018
Namna ya kukataa hali ya maisha uliyo kuwanayo.
Fata njia hizi. 6 ukifuata uta weza.
1,JIPEMOYO.
Kujipa moyo nihatua kubwa sana kwako, itakufanya ujiamini sana. Maana moyo inakufanya usikate Tamaa kimaisha. Usiogope kabisa. Mfano: mbwa ana bweka ili akukatishe moyo wako ndipo ana kushambulia.ukijipa moyo HAKUNG'ATI sababu kuu USHINDI ilianza kwako mwenyewe. Kwa kujipa moyo. Ndivyo hata yalivyokuwa mafanikio yetu. (JIPE MOYO UTAFANIKIWA)
2,BIDII SANA.
Bila ya kujituma haufanikiwi kabisa. mfano: kulima, watu wanalima masaa 10 ndipo siku imeisha ya kazi. Sasa Wewe unalima masaa 4 kweli utafanikiwa sahau kabisa kufanikiwa.tujitume sana bila ya kujali umechoka kiasi gani. BIDII Utakuwanayo kama UMEJIPA MOYO NDIPO Bidii ita fanyika.
3,UWE NA MTAZAMO MKUBWA WA KIFIKRA.
mtazamo uta ongoza utakacho wewe. Utafanya mazuri sababu mtazamo ulio kuwa nao. una pangajambo,kufikiri mafanikio, utajiambia kuwa unataka kuwa (MTU WAAINA FULANI.)
4, FANYA JAMBO KAMA UNAFANIKIWA LEO.
Hii ina hamasisha ufanisi wako. Mfano; vijana baadhi wakitaka mwenza wake huwaza akubali Leo . Sasa hata jambo la mafanikio linatakiwa uwaze kutimiza Leo nasio KESHO .
5, PINGA MANENO MABAYA UAMBIWAYO
maneno mabaya sio mazuri kuya fikiri yana haribu jambo ulilokuwa nalo . Maneno yanatoka sehemu mbalimbali . Epuka Marafiki , Ndugu , vikundi viovu , hata wazazi baadhi wanachangia maneno ambayo huchangia kudumaa kimaendeleo, UFAFANUZI MZAZI . mzazi aliyefanikiwa hutoa maneno mazuri ili nawe ufanikiwe Tofauti mzazi ambaye hajafanikiwa hutoa maneno ya kushindwa. Kazi ni kwako uta msikiliza nani?( aliye fanikiwa analo jambo la kukufundisha.
6, FURAHIA CHANGAMOTO ULIYO PITIA
Maana nikipimo cha utambuzi kuwa wewe ninani? Ukitaka kubadili maisha changamoto ina kufuata, HAKUNA MTU AMBAYE HAJAPITIA changamoto ukionachangamoto basi MAFANIKIO ya nafuata . mfano : ukizaliwa lazima ulie, katika maisha ya kuishi utalia, sasa je ? Ukifa utaliatena au furaha kwako machozi kwa wengine. Asante sana kwa kujifunza .
Ijumaa, 2 Februari 2018
FANYA JAMBO LENYE MATEGEMEO.
Mfano : KAZI , MASOMO , BIASHARA , KUMJUA MUNGU , Nk .
Fanya kwa uwezowako wote bila woga .
TAHADHARI ; (a) usifanye kwa kuiga utapotea .
(b) mazoea
(c) kuzuga
(d) cha kupotezea muda .
Hautatimiza mipango kama hauna unacho kijua / kifanya .
* Mithali 20:29 fahari ya vijana ni nguvu zao . Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi .
* Tajiri mji wake nguvu .
2, Tumia fursa upata fursa
Usipo tumia fursa utakosa fursa .
Utapata kikubwa kulingana Na ( bidii )
PENDA UNACHO KIFANYA NACHO KITAKUPENDA . By.kayombo95
Alhamisi, 1 Februari 2018
HATUA 3 ZA UVIVU AU CHANZO CHAUVIVU.
(1) CHANZO CHAUVIVU (mawazo mabaya)(thinking negative)
Mawazo mabaya ni sumu, husababisha ushindwe
Kufanya jambo. MFANO; ukiambiwa (1)tembea kilomita mbili 2. utasema Mbalisana, (2)pika chakula naogopa kupika nitaunguza 3,Fanya biashara, je?nikipata hasara. 4, fuga kuku.sasa kideli kitanisumbua. Mwisho wasiku una pondekamoyo wakufanya kazi. NJIA BORA WAZA MAZURI(THINk POSITIVELY)
(2) BAADA YA UVIVU ( Kulalamika au kulaumu) utasikia,wewe mchoyo, sina pesa nikopeshe, wameninyima mirathi, serikali imebana, Ndugu wamenitenga,nk UNAJUA SABABU nimatokeo ya mawazo mabaya == huleta lawama == mwisho umasikini.
(3) MWISHO WA UVIVU ( umasikini ) yaani hujatimiza malengo ya kimafanikio. Nakushindwa yote.
Kanuni.
MAWAZO MABAYA + KULAUMU+ UVIVU
JIBU LAKE. (UMASIKINI)
Alhamisi, 25 Januari 2018
Maisha
Katika Misha kunavitu vyaku zingatia mfano: afya, kujifunza,kujiamini,kuwaza yenye uwezekano unaofaa tu.itakufanya osonge mbele Katika mafanikio yako.