(1) CHANZO CHAUVIVU (mawazo mabaya)(thinking negative)
Mawazo mabaya ni sumu, husababisha ushindwe
Kufanya jambo. MFANO; ukiambiwa (1)tembea kilomita mbili 2. utasema Mbalisana, (2)pika chakula naogopa kupika nitaunguza 3,Fanya biashara, je?nikipata hasara. 4, fuga kuku.sasa kideli kitanisumbua. Mwisho wasiku una pondekamoyo wakufanya kazi. NJIA BORA WAZA MAZURI(THINk POSITIVELY)
(2) BAADA YA UVIVU ( Kulalamika au kulaumu) utasikia,wewe mchoyo, sina pesa nikopeshe, wameninyima mirathi, serikali imebana, Ndugu wamenitenga,nk UNAJUA SABABU nimatokeo ya mawazo mabaya == huleta lawama == mwisho umasikini.
(3) MWISHO WA UVIVU ( umasikini ) yaani hujatimiza malengo ya kimafanikio. Nakushindwa yote.
Kanuni.
MAWAZO MABAYA + KULAUMU+ UVIVU
JIBU LAKE. (UMASIKINI)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni