1,Fanya jambo lenye mategemeo ya mafanikio kimaisha.
Mfano
:
KAZI
,
MASOMO
,
BIASHARA
,
KUMJUA
MUNGU
,
Nk
.
Fanya
kwa
uwezowako
wote
bila
woga
.
TAHADHARI
;
(a)
usifanye
kwa
kuiga
utapotea
.
(b)
mazoea
(c)
kuzuga
(d)
cha
kupotezea
muda
.
Hautatimiza
mipango
kama
hauna
unacho
kijua
/
kifanya
.
*
Mithali
20:29
fahari
ya
vijana
ni
nguvu
zao
.
Na
uzuri
wa
wazee
ni
kichwa
chenye
mvi
.
*
Tajiri
mji
wake
nguvu
.
2,
Tumia
fursa
upata
fursa
Usipo
tumia
fursa
utakosa
fursa
.
Utapata
kikubwa
kulingana
Na
(
bidii
)
PENDA
UNACHO
KIFANYA
NACHO
KITAKUPENDA
. By.kayombo95
Nikweli kabisa
JibuFuta