Ijumaa, 2 Februari 2018

FANYA JAMBO LENYE MATEGEMEO.

1,Fanya jambo lenye mategemeo ya mafanikio kimaisha.
   Mfano :    KAZI , MASOMO , BIASHARA , KUMJUA MUNGU , Nk .
                     Fanya kwa uwezowako wote bila woga .
   TAHADHARI ; (a) usifanye kwa kuiga   utapotea .
                           (b) mazoea
                           (c) kuzuga
                           (d) cha kupotezea muda .
Hautatimiza mipango kama hauna unacho kijua / kifanya .
* Mithali 20:29 fahari ya vijana ni nguvu zao Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi .
* Tajiri mji wake nguvu .
2, Tumia fursa upata fursa
Usipo tumia fursa utakosa fursa .
Utapata kikubwa kulingana Na ( bidii )

  PENDA UNACHO KIFANYA NACHO KITAKUPENDA . By.kayombo95

Maoni 1 :