Ijumaa, 9 Februari 2018

Namna ya kukataa hali ya maisha uliyo kuwanayo.

NAKUTAKA   UTAKAVYO WEWE .

Fata njia hizi. 6 ukifuata uta weza.

1,JIPEMOYO.
Kujipa moyo nihatua kubwa sana kwako, itakufanya ujiamini sana. Maana moyo inakufanya usikate Tamaa kimaisha. Usiogope kabisa. Mfano: mbwa ana bweka ili akukatishe moyo wako ndipo ana kushambulia.ukijipa moyo HAKUNG'ATI  sababu kuu USHINDI ilianza kwako mwenyewe. Kwa kujipa moyo. Ndivyo hata yalivyokuwa mafanikio yetu.  (JIPE MOYO UTAFANIKIWA)

2,BIDII SANA.
Bila ya kujituma haufanikiwi kabisa.  mfano: kulima, watu wanalima masaa 10  ndipo siku imeisha ya kazi. Sasa Wewe unalima masaa 4 kweli utafanikiwa sahau kabisa kufanikiwa.tujitume sana bila ya kujali umechoka kiasi gani. BIDII Utakuwanayo kama UMEJIPA MOYO NDIPO Bidii ita fanyika.

3,UWE NA MTAZAMO MKUBWA WA KIFIKRA.
mtazamo uta ongoza utakacho wewe. Utafanya mazuri sababu mtazamo ulio kuwa nao. una pangajambo,kufikiri mafanikio, utajiambia kuwa unataka kuwa (MTU WAAINA FULANI.)

4, FANYA JAMBO KAMA UNAFANIKIWA LEO.
Hii ina hamasisha ufanisi wako. Mfano; vijana  baadhi   wakitaka mwenza wake  huwaza akubali Leo . Sasa hata jambo la mafanikio linatakiwa uwaze kutimiza Leo nasio KESHO .

5, PINGA MANENO MABAYA   UAMBIWAYO
  maneno mabaya sio mazuri kuya fikiri yana haribu jambo ulilokuwa nalo . Maneno yanatoka sehemu mbalimbali . Epuka Marafiki , Ndugu , vikundi viovu hata wazazi baadhi wanachangia maneno ambayo huchangia kudumaa kimaendeleo, UFAFANUZI MZAZI .   mzazi aliyefanikiwa hutoa maneno  mazuri ili nawe ufanikiwe Tofauti mzazi  ambaye hajafanikiwa hutoa maneno  ya kushindwa. Kazi ni kwako uta msikiliza nani?( aliye fanikiwa analo jambo la kukufundisha.

6, FURAHIA CHANGAMOTO ULIYO PITIA
Maana nikipimo cha utambuzi kuwa wewe ninani?  Ukitaka kubadili maisha changamoto ina kufuata, HAKUNA MTU AMBAYE HAJAPITIA  changamoto ukionachangamoto   basi MAFANIKIO ya nafuata . mfano : ukizaliwa lazima ulie, katika maisha ya kuishi utalia, sasa je ? Ukifa utaliatena  au furaha kwako machozi kwa wengine. Asante sana kwa kujifunza .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni