Jumanne, 25 Septemba 2018
UMAKINI KATIKA MAISHA
UMAKINI KATIKA MAISHA
1, chochote ulicho nacho kinahitajika um
akini maana bila ya UMAKINI ni shida.
Mfano: unashona nguo na sindano ya mkono yafaa ushone kwa umakini. utulie sana katika kushona Sasa basi ufanye kazi yako ukiwa safi, yaani; 7kwa UMAKINI. Amini utafanikiwa
2,TUMIA VYEMA SIKU 7 ZA WIKI .
Kama Siku za kazi na ufanye kazi. Pasipokuwa na sababu yoyote ile.
Ufanye kazi yako kwa UMAKINI sana, tena kwa bidii.
Penda kujifunza kila siku. Unapojifunza unaongeza .UJUZI WA UMAKINI KATIKA LENGO LAKO LA KILA SIKU.
UWE NA MATEGEMEO KUWA, IPO SIKU. NAWE UTA FANIKIWA; KATIKA MAISHA.
3,JIEPUSHE NA ANASA ZA DUNIA
Mfano;matumizi mabaya ya pesa.kuonesha ufahari wakati huna kitu.(disco,kulewa,starehe,kila unacho kipata una tumia chote. HATA WEWE UMOOO. VIJANA TUWE MAKINI.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni